Biashara Yake, Maisha Yake

Usimamizi wa Biashara na Ujuzi wa Kusoma na Kuandika wa Kidijitali kwa Wanawake Wajasiriamali Wadogo

  • Orientation module

    Mwelekeo

    MALENGO:
    • Kujifunza kuhusu masomo yanayopatikana kwenye mafunzo haya.
    • Kuelewa hali halisi iliyopo ya biashara yako.
    • Kuwa na maono ya biashara yako
    • Tambua elimu na ujuzi unaohitaji kukuza biashara yako.

  • Ujuzi wa Kusoma na Kuandika Kifedha

    MALENGO:
    • Elewa jinsi ya kuweka akiba, kutumia, au kuongeza pesa zako.

  • Kufikia na Kustahili Kupata Mkopo

    MALENGO:
    • Elewa aina za mkopo rasmi na vyanzo.
    • Jifunze kuhusu utaratibu wa kutathmini anayestahili kupata mkopo.
    • Fahamu umuhimu kutengeneza mkopo na malipo ya mkopo kwa wakati.

  • Ijue Simu Yako

    MALENGO:
    • Kufahamu thamani ya kuwa na simu.
    • Kujifunza jinsi ya kutumia simu yako.
    • Kuelewa jinsi ya kulinda data yako na maelezo mtandaoni.

  • Malipo ya Kidijitali

    MALENGO:
    • Jifunze jinsi ya kukubali malipo ya kidijitali kwenye duka lako.
    • Elewa faida za malipo ya kidijitali.

  • Usimamizi wa Kifedha

    MALENGO:
    • Kujifunza jinsi ya kutengeneza mpango wa kifedha.
    • Kutambua aina ya rekodi na vitabu unavyofaa kutumia kwenye biashara yako.
    • Kuelewa jinsi simu yako inaweza kukusaidia uwekaji hesabu.

  • Usimamizi wa Orodha ya Mali

    MALENGO:
    Kuelewa msingi wa usimamizi wa orodha ya mali.
    • Kujifunza kuhusu mifumo ya usimamizi wa orodha ya mali.

  • Utangazaji wa Biashara

    MALENGO:
    Kujifunza njia za kukuza na kutangaza biashara yako.
    • Kuweka mikakati kabambe ya kuwa na mtagusano mzuri na wateja.
    • Kutambua njia za kupanua biashara yako.
    • Kuwa na ujuzi na masoko ya kidijitali.

These webpages and the information provided is made possible by the generous support of the American people through the United States Agency for International Development (USAID). This webpage was produced under DAI’s Digital Frontiers Project (Cooperative Agreement AID-OAA-A-17-00033) at the request of USAID and in partnership with Mastercard. The contents are the responsibility of SIA and do not necessarily reflect the views of USAID or the United States Government.